CANNAVARO 'BADO NAFASI YA KUTETEA UBINGWA IPO'



Nahodha wa Yanga Nadir Haroub 'cannavaro' amesema licha ya watani wao wa jadi kuongoza ligi bado nafasi ya kutete ubingwa ipo.
Cannavaro amesema kuwa Simba imeipita Yanga kwa alama mbili ambazo haziwezi kuwakwamisha kwenye mbio za kutetea ubingwa punde tu mzunguko wa pili utakapoanza.
Nahodha na beki huyo wa Yanga amesema wapo kwenye mazoezi ambayo yatakamilika zaidi wachezaji wenzake waliopo kwenye kombe la chalenji watakaporudi.

Maoni