TAZAMA VIDEO:Waziri Mpina akiongelea juu ya Uchomaji wa VIFARANGA KUTOKA KENYA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amesema serikali ilichoma vifaranga 6,400 kutoka Kenya ili kuzuia magonjwa ya ndege lakini pia mmiliki hakuwa na vibali na vifaranga havikukaguliwa.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MUGABE APEWA MASAA KUJIUZULU