Bank ya CRDB yamkabidhi milioni 15 Paul Makonda
Mkuu was mkoa was dar es salaam Paul makonda amekabidhiwa milioni 15 na bank ya CRDB jijini dar es salaam.
Wafanyakazi na wateja wa Benki ya CRDB Dar es Salaam kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji Dr. Charles Kimei leo wamekabidhi msaada wa shilingi milioni 15 kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ili kusaidia ujenzi wa ofisi za Walimu kwa shule za msingi na Sekondari za Dar es salaam.

Dr. Kimei alisema msaada huo unatokana na michango ya Wafanyakazi na wateja wa Benki ambao wamehamasika katika kuisaidia serikali kutatua changamoto ya upungufu wa ofisi za walimu Dar es salaam.

Maoni
Chapisha Maoni