BOKO AING'ARISHA SIMBA DAKIKA ZA LALA SALAMA


John Boko ameing'arisha simba na kuendelea kuiweka kileleni timu yake kwa kuipatia bao timu yake. Boko alifunga goli hilo kipindi cha pili dakika ya 84, baada ya mabeki wa Tanzania prison kufanya uzembe.
 Ushindi wa goli 1-0 umeendelea kuiweka simba kileleni kwa alama 22, azam wakiwa na alama 19, huku mtani wake wa jadi Dar es salaam Yanga African wakiwa na alama 17.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MUGABE APEWA MASAA KUJIUZULU