ICARDI AITENDEA HAKI INTER MILAN


Mauro Icardi, nahodha wa Inter Milan jana ameifungia timu yake magoli mawili, la kwanza akifunga dakika ya 51 na la pili dakika ya 60 kwenye mechi ya series A uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MUGABE APEWA MASAA KUJIUZULU