ITALIA NJE KOMBE LA DUNIA


ITALIA, moja ya mataifa makubwa kisoka itakosekana kwenye Fainali za Kombe la Dunia mwakani kwa mara ya kwanza baada ya miaka 50. Hiyo ni kufuatia kulazimishwa sare ya bila kufungana na Sweden usiku wa jana Uwanja wa San Siro, Milan katika mchezo wa marudiano wa mchujo wa kuwania tiketi ya Urusi 2018. Pia ni huzuni kwa kipa wa kikosi cha italia Gianluigi Buffon kwani huu ndo ulikua msimu wake wa mwisho kuichezea timu ya taifa ya italia

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MUGABE APEWA MASAA KUJIUZULU