Robinho apewa miaka tisa jela



MWANASOKA wa zamani wa kimataifa wa Brazil, Robinho ameripotiwa kuhukumiwa kifungo cha miaka tisa jela baada ya kukutwa na hatua ya unyanyasi wa kijinsia.Taarifa nchini Italia zimesema kwambanyota huyo wa zamani wa Manchester City na Real Madrid, kwa pamoja na jamaa wengine watano, walidaiwa kumshambulia binti wa Kialbania katika klabu ya usiku mjini Milan Januari mwaka 2013.Tukio hilo lilitokea wakati mchezaji mwenye umri wa miaka 33 sasa akiwa anachezea AC Milan baada ya kuondoka Etihad mwaka 2010.
Source:Bin Zubery

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MUGABE APEWA MASAA KUJIUZULU