UGANDA WAITAKA SERIKALI KUMKAMATA BASHIR BAADA YA KUWASILI

Watu wa haki za binadamu wameitaka serikali ya Uganda kumkamata raisi Omar al-Bashr na kumfikisha kwenye mahakama ya ICC.
   Wamesema hayo baada ya Bashir kuwasili nchini humo. "We need to arrest this man as directed by ICC. We have a chance today even if we failed in May last year. He has become a social distress. When people see us with him, they will think we don't care about those he killed," Mr Ndifuna said (tunataka kumkamata huyu mtu kama ilivyo takwa na ICC. Tunayo nafasi Leo ata kama tulishindwa mwaka uliopita, amekuwa kikwanzo kwa jamii. Watu watakapo muona pamoja nasi, watazani hatujali kuhusu waliouawa," amesema Bw. Ndifuna

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MUGABE APEWA MASAA KUJIUZULU