BARCELONA YAMUWINDA BLIND


Barcelona inataka saini ya mchezaji kiraka Daley Blind wa Manchester United ambaye mkataba wake Man united umebakia miezi sita.
Blind anaweza kucheza nafasi ya beki na kuingo mkabaji, na mchezaji huyo anaweza asisaini mkataba mpya kwa kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza Man United.
Kocha wa Barcelona Ernesto Valverde anamuwinda kiraka huyo mwenye umri wa miaka 27 kwenye msimu ujao wa kiangazi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

MUGABE APEWA MASAA KUJIUZULU