Msuva aendelea kung'ara Morocco
Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Simon Msuva amechaguliwa kwenye kikosi cha wachezaji bora wa mwezi wa ligi ya Morocco.
Msuva amesema hakutarajia jina lake kama lingekuwemo kwenye orodha ya kikosi cha wachezaji bora wa mwezi, pia amesema huo ni mwanzo mzuri kwake na sasa ameanza kuziota tuzo zinazowaniwa baada ya msimu wa ligi kumalizika
Maoni
Chapisha Maoni