WACHEZAJI WAWILI WAFUNGA USAJILI YANGA
Yanga imehitimisha usajili wake kwenye dirisha dogo kwa kumsajili beki mkongoman Fistoo Kayembe na mshambuliaji Yohana Mkomola.
Hussein Nyika mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Yanga amesema kuwa usajili wao umefikia mwisho kwa kuwasajili wachezaji wawili pekee.
"Tulipanga kufanya usajili mkubwa lakini muda umekuwa mfupi lakini pia kama mnavyojua usajili sio kitu cha kukurupuka tulisema tunatafuta kiuongo tukamleta Pappy (Tshishimbi) watu wakarithika, tulisema tunatafuta mshambuliaji tukamleta Hajibu watu wakafurahia pia. Hivyo tulitaka kufanya kweli lakini tukakosa kile tulichotaka ndo mana tukafanya usajili huu" alisema Nyika.

Maoni
Chapisha Maoni